Isaiah 49:16


16 aTazama, nimekuchora kama muhuri
katika vitanga vya mikono yangu,
kuta zako zi mbele yangu daima.
Copyright information for SwhKC